caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Faatir, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 43 · 35:26

ثُمَّ أَخَذْتُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فَكَيْفَ كَانَ نَكِيرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha nikawakamata wale waliokufuru. Basi kukemea kwangu kulikuwaje?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70