caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saba, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 58 · 34:44

وَمَآ ءَاتَيْنَٰهُم مِّن كُتُبٍ يَدْرُسُونَهَا وَمَآ أَرْسَلْنَآ إِلَيْهِمْ قَبْلَكَ مِن نَّذِيرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hatukuwapa Vitabu wavisome, wala hatukuwatumia mwonyaji kabla yako wewe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hatukuwapa Vitabu wavisome, wala hatukuwatumia Mwonyaji kabla yako wewe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70