caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahzaab, Aya 11

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 90 · 33:11

هُنَالِكَ ٱبْتُلِىَ ٱلْمُؤْمِنُونَ وَزُلْزِلُوا۟ زِلْزَالًا شَدِيدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHapo ndipo Waumini walipojaribiwa, na wakatikiswa mtikiso mkali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHapo ndipo Waumini walipo jaribiwa, na wakatikiswa mtikiso mkali.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70