وَلَنُذِيقَنَّهُم مِّنَ ٱلْعَذَابِ ٱلْأَدْنَىٰ دُونَ ٱلْعَذَابِ ٱلْأَكْبَرِ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tutawaonjesha katika adhabu hafifu kabla ya adhabu kubwa, huenda labda watarejea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tutawaonjesha adhabu khafifu kabla ya adhabu kubwa, huenda labda watarejea.