يَعْلَمُونَ ظَٰهِرًا مِّنَ ٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا وَهُمْ عَنِ ٱلْـَٔاخِرَةِ هُمْ غَٰفِلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWanajua hali ya dhahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera.