caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:5

بِنَصْرِ ٱللَّهِ يَنصُرُ مَن يَشَآءُ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa nusura ya Mwenyezi Mungu, humnusuru amtakaye. Naye ndiye Mwenye nguvu, Mwingi wa kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa nusura ya Mwenyezi Mungu humnusuru amtakaye. Naye ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70