caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:3

فِىٓ أَدْنَى ٱلْأَرْضِ وَهُم مِّنۢ بَعْدِ غَلَبِهِمْ سَيَغْلِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKatika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa kwao watashinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKatika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa kwao watashinda .
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70