caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:26

وَلَهُۥ مَن فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ كُلٌّ لَّهُۥ قَٰنِتُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni vyake Yeye vilivyo mbinguni na katika ardhi. Vyote vinamtii Yeye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa vyake Yeye vilivyo mbinguni na katika ardhi. Vyote vinamt'ii Yeye.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70