إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَخْفَىٰ عَلَيْهِ شَىْءٌ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا فِى ٱلسَّمَآءِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, Mwenyezi Mungu hakifichikani chochote kwake, katika dunia wala katika mbingu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni.