caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 2

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:2

ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْحَىُّ ٱلْقَيُّومُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu, hakuna mungu isipokuwa Yeye. Aliye hai, Msimamizi wa yote milele.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70