caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 163

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:163

هُمْ دَرَجَٰتٌ عِندَ ٱللَّهِ وَٱللَّهُ بَصِيرٌۢ بِمَا يَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao wana vyeo mbalimbali kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona yote wayatendayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao wana vyeo mbali mbali kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona yote wayatendayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70