caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 66

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:66

لِيَكْفُرُوا۟ بِمَآ ءَاتَيْنَٰهُمْ وَلِيَتَمَتَّعُوا۟ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWapate kuyakufuru yale tuliyowapa, na wajistareheshe. Lakini watakuja jua!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWapate kuyakanya tuliyo wapa, na wajistareheshe. Lakini watakuja jua!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70