caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:30

قَالَ رَبِّ ٱنصُرْنِى عَلَى ٱلْقَوْمِ ٱلْمُفْسِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema, "Ewe Mola wangu Mlezi, ninusuru kutokana na watu waharibifu hawa!"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru na watu mafisadi hawa!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70