caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 21

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:21

يُعَذِّبُ مَن يَشَآءُ وَيَرْحَمُ مَن يَشَآءُ وَإِلَيْهِ تُقْلَبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHumuadhibu amtakaye, na humrehemu amtakaye. Na kwake Yeye mtapelekwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHumuadhibu amtakaye, na humrehemu amtakaye. Na kwake Yeye mtapelekwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70