caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:2

أَحَسِبَ ٱلنَّاسُ أَن يُتْرَكُوٓا۟ أَن يَقُولُوٓا۟ ءَامَنَّا وَهُمْ لَا يُفْتَنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, watu wanadhani kwamba wataachwa kwa kuwa wanasema, "Tumeamini." Nao wasijaribiwe?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Wanadhani watu wataachwa kwa kuwa wanasema: Tumeamini. Nao wasijaribiwe?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70