caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 22

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:22

وَلَمَّا تَوَجَّهَ تِلْقَآءَ مَدْيَنَ قَالَ عَسَىٰ رَبِّىٓ أَن يَهْدِيَنِى سَوَآءَ ٱلسَّبِيلِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa alipoelekea upande wa Madyana, alisema, "Huenda Mola wangu Mlezi akaniongoa njia iliyo sawa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa alipo elekea upande wa Madyana alisema: Asaa Mola wangu Mlezi akaniongoa njia iliyo sawa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70