caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:17

قَالَ رَبِّ بِمَآ أَنْعَمْتَ عَلَىَّ فَلَنْ أَكُونَ ظَهِيرًا لِّلْمُجْرِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema, "Mola wangu Mlezi, kwa yale uliyonineemesha, basi mimi sitakuwa kabisa msaidizi wa wahalifu."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mola wangu Mlezi! Kwa ulivyo nineemesha, basi mimi sitakuwa kabisa msaidizi wa wakosefu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70