caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:13

فَلَمَّا جَآءَتْهُمْ ءَايَٰتُنَا مُبْصِرَةً قَالُوا۟ هَٰذَا سِحْرٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi zilipowafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha, wakasema: Huu ni uchawi dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi zilipo wafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha, wakasema: Huu ni uchawi dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70