caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ طسٓ تِلْكَ ءَايَٰتُ ٱلْقُرْءَانِ وَكِتَابٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTw'aa Siin. Hizi ni Aya za Qur-ani na Kitabu kinachobainisha.[1]
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniT'aa Siin. (T'.S.), Hizi ni Aya za Qur'ani na Kitabu kinacho bainisha; .
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70