إِذْ نُسَوِّيكُم بِرَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTulipowafanya nyinyi ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote.