caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 89

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:89

إِلَّا مَنْ أَتَى ٱللَّهَ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70