caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:61

فَلَمَّا تَرَٰٓءَا ٱلْجَمْعَانِ قَالَ أَصْحَٰبُ مُوسَىٰٓ إِنَّا لَمُدْرَكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa yalipoonana majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumekutwa!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa yalipo onana majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumepatikana!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70