caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:50

قَالُوا۟ لَا ضَيْرَ إِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا مُنقَلِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70