caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:27

قَالَ إِنَّ رَسُولَكُمُ ٱلَّذِىٓ أُرْسِلَ إِلَيْكُمْ لَمَجْنُونٌ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliyetumwa kwenu ni mwendawazimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu ni mwendawazimu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70