caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 223

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:223

يُلْقُونَ ٱلسَّمْعَ وَأَكْثَرُهُمْ كَٰذِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWanawapelekea yale wanayoyasikia; na wengi wao ni waongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70