caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 200

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:200

كَذَٰلِكَ سَلَكْنَٰهُ فِى قُلُوبِ ٱلْمُجْرِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNamna hivi tunaingiza katika nyoyo za wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNamna hivi tunaingiza katika nyoyo za wakosefu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70