caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 197

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:197

أَوَلَمْ يَكُن لَّهُمْ ءَايَةً أَن يَعْلَمَهُۥ عُلَمَٰٓؤُا۟ بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanachuoni wa Wana wa Israili?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanazuoni wa Wana wa Israili?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70