caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 187

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:187

فَأَسْقِطْ عَلَيْنَا كِسَفًا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHebu tuangushie vipande kutoka mbinguni ikiwa wewe ni miongoni mwa wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHebu tuangushie vipande kutoka mbinguni ikiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70