أَوْفُوا۟ ٱلْكَيْلَ وَلَا تَكُونُوا۟ مِنَ ٱلْمُخْسِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTimizeni kipimo sawasawa, wala msiwe katika wanaopunja.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTimizeni kipimo sawa sawa, wala msiwe katika wanao punja.