caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 177

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:177

إِذْ قَالَ لَهُمْ شُعَيْبٌ أَلَا تَتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterShuaibu alipowaambia: Je, hamumchi Mungu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniShuaibu alipo waambia: Je! Hamfanyi mkamchamngu?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70