caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 136

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:136

قَالُوا۟ سَوَآءٌ عَلَيْنَآ أَوَعَظْتَ أَمْ لَمْ تَكُن مِّنَ ٱلْوَٰعِظِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Ni mamoja kwetu, ukitupa mawaidha au hukuwa miongoni mwa watoao mawaidha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Ni mamoja kwetu, ukitupa mawaidha au hukuwa miongoni mwa watoao mawaidha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70