caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 115

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:115

إِنْ أَنَا۠ إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMimi si chochote isipokuwa ni Mwonyaji wa dhahiri shahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMimi si cho chote ila ni Mwonyaji wa dhaahiri shaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70