ٱنظُرْ كَيْفَ ضَرَبُوا۟ لَكَ ٱلْأَمْثَٰلَ فَضَلُّوا۟ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ سَبِيلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTazama jinsi wanavyokupigia mifano. Basi wamepotea, wala hawataiweza Njia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTazama jinsi wanavyo kupigia mifano. Basi wamepotea, wala hawataiweza Njia.