caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:61

تَبَارَكَ ٱلَّذِى جَعَلَ فِى ٱلسَّمَآءِ بُرُوجًا وَجَعَلَ فِيهَا سِرَٰجًا وَقَمَرًا مُّنِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Mwenye baraka nyingi yule aliyezijalia nyota mbinguni, na akajalia humo taa na mwezi unaong'ara.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmetukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unao ng'ara.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70