caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 52

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:52

فَلَا تُطِعِ ٱلْكَٰفِرِينَ وَجَٰهِدْهُم بِهِۦ جِهَادًا كَبِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi usiwatii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70