caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:5

وَقَالُوٓا۟ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ ٱكْتَتَبَهَا فَهِىَ تُمْلَىٰ عَلَيْهِ بُكْرَةً وَأَصِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyoviandikisha, anavyosomewa asubuhi na jioni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70