caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:49

لِّنُحْـِۧىَ بِهِۦ بَلْدَةً مَّيْتًا وَنُسْقِيَهُۥ مِمَّا خَلَقْنَآ أَنْعَٰمًا وَأَنَاسِىَّ كَثِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIli kwa hayo tuihuishe nchi iliyokufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tuliowaumba.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIli kwa hayo tuihuishe nchi iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tulio waumba.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70