caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:35

وَلَقَدْ ءَاتَيْنَا مُوسَى ٱلْكِتَٰبَ وَجَعَلْنَا مَعَهُۥٓ أَخَاهُ هَٰرُونَ وَزِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tulimpa Musa Kitabu na tukamuweka pamoja naye kakaye, Harun, kuwa msaidizi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tulimpa Musa Kitabu na tukamweka pamoja naye nduguye, Harun, kuwa waziri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70