caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:33

وَلَا يَأْتُونَكَ بِمَثَلٍ إِلَّا جِئْنَٰكَ بِٱلْحَقِّ وَأَحْسَنَ تَفْسِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hawatakuletea mfano wowote, isipokuwa na Sisi tutakuletea (jawabu) kwa haki, na tafsiri iliyo bora zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hawatakuletea mfano wowote, ila na Sisi tutakuletea (jawabu) kwa haki, na tafsiri iliyo bora.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70