وَيَوْمَ تَشَقَّقُ ٱلسَّمَآءُ بِٱلْغَمَٰمِ وَنُزِّلَ ٱلْمَلَٰٓئِكَةُ تَنزِيلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siku zitakapopasuka mbingu zifunguke kwa mawingu, na wateremshwe Malaika kwa wingi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa siku zitapo funguka mbingu kwa mawingu, na wateremshwe Malaika kwa wingi,