caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:16

لَّهُمْ فِيهَا مَا يَشَآءُونَ خَٰلِدِينَ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ وَعْدًا مَّسْـُٔولًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatayapata humo wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako Mlezi, inayoombwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatayapata humo wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako Mlezi, inayo ombwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70