caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:13

وَإِذَآ أُلْقُوا۟ مِنْهَا مَكَانًا ضَيِّقًا مُّقَرَّنِينَ دَعَوْا۟ هُنَالِكَ ثُبُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa watakapotupwa humo mahali penye dhiki, hali wamefungwa, wataomba wafe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa, wataombawafe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70