caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ تَبَارَكَ ٱلَّذِى نَزَّلَ ٱلْفُرْقَانَ عَلَىٰ عَبْدِهِۦ لِيَكُونَ لِلْعَٰلَمِينَ نَذِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmetukuka aliyeteremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmetukuka aliye teremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70