caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Noor, Aya 56

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 102 · 24:56

وَأَقِيمُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُوا۟ ٱلزَّكَوٰةَ وَأَطِيعُوا۟ ٱلرَّسُولَ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa shikeni Swala, na toeni Zaka, na mtiini Mtume, ili mpate kurehemewa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa shikeni Swala, na toeni Zaka, na mt'iini Mtume, ili mpate kurehemewa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70