أُو۟لَٰٓئِكَ يُسَٰرِعُونَ فِى ٱلْخَيْرَٰتِ وَهُمْ لَهَا سَٰبِقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wote hao ndio wanaokimbilia mambo ya heri, na ndio watakaotangulia kuyafikia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia.