إِلَىٰ فِرْعَوْنَ وَمَلَإِي۟هِۦ فَٱسْتَكْبَرُوا۟ وَكَانُوا۟ قَوْمًا عَالِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKumwendea Firauni na wakuu wake. Lakini wakatakabari, nao walikuwa kaumu majeuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKumwendea Firauni na wakuu wake. Lakini walijivuna, nao walikuwa watu majeuri.