caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:45

ثُمَّ أَرْسَلْنَا مُوسَىٰ وَأَخَاهُ هَٰرُونَ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلْطَٰنٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukamtuma Musa na kakaye, Harun, pamoja na ishara zetu na hoja zilizo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha tukamtuma Musa na nduguye, Haaruni, pamoja na ishara zetu na hoja zilizo wazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70