caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 118

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:118

وَقُل رَّبِّ ٱغْفِرْ وَٱرْحَمْ وَأَنتَ خَيْرُ ٱلرَّٰحِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNawe sema, "Mola wangu Mlezi, samehe na urehemu nawe ni Mbora wa wanaorehemu."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNawe sema: Mola wangu Mlezi! Samehe na urehemu nawe ni Mbora wa wanao rehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70