caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 101

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:101

فَإِذَا نُفِخَ فِى ٱلصُّورِ فَلَآ أَنسَابَ بَيْنَهُمْ يَوْمَئِذٍ وَلَا يَتَسَآءَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi litakapopulizwa baragumu, hapo hautakuwapo ujamaa baina yao siku hiyo, wala hawataulizana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi litapo pulizwa baragumu hapo hautakuwapo ujamaa baina yao siku hiyo, wala hawataulizana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70