caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 8

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:8

وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَٰدِلُ فِى ٱللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَلَا هُدًى وَلَا كِتَٰبٍ مُّنِيرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika watu wapo wanaobishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya elimu, wala uongofu, wala Kitabu chenye nuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, wala uwongofu, wala Kitabu chenye nuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70